Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Zaha anukia Saudi Arabia

Wilfried Zaha Celebrates Cta10s8oxcwr15p9dl2r81exg Wilfred Zaha

Wed, 15 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

AL-Ittihad ya Saudi Arabia imewasilisha ofa kwa wawakilishi wa winga wa Crystal Palace, Wilfried Zaha ili kuipata huduma yake baada ya mkataba wake kumalizika mwishoni mwa msimu.

AL-Ittihad ya Saudi Arabia imewasilisha ofa kwa wawakilishi wa winga wa Crystal Palace, Wilfried Zaha ili kuipata huduma yake baada ya mkataba wake kumalizika mwishoni mwa msimu. Al-lttihad imetuma ofa ya mshahara wa Pauni 9 milioni kwa mwaka. Bado hakuna mwafaka kati ya Palace na Zaha juu ya mkataba mpya.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live