Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Zaha akutana na ubaguzi wa rangi

B20782776ed2b6f5ff7f77d132e0d4ff Wilfred Zaha

Sun, 31 Oct 2021 Chanzo: www.habarileo.co.tz

Winga wa Crystal Palace, Wilfried Zaha ametoa wito kwa mamlaka husika kuchukua hatua dhidi ya kitendo cha ubaguzi wa rangi alichofanyiwa katika mchezo wa jana walioshinda mabao 2-0 dhidi ya Man City, Uwaja wa Etihad.

Kupitia mtandao wake wa Instagram, Zaha aliposti jumbe zote za kibaguzi mara baada ya kumalizika kwa mchezo huo.

"Sipo hapa kuendekeza yanayofanywa badala yake tatizo litatuliwe," amesema Zaha.

Zaha amekuwa mchezaji wa kwanza kuifungia Crystal Palace mabao 50 katika ligi baada ya jana kufunga goli moja dhidi ya Man City katika dimba la Etihad

Chanzo: www.habarileo.co.tz