Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Zaha aichimba mkwara mzito Man United usiku wa UEFA

Galatasaray Man United Wilfred Zaha

Tue, 3 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati Man United ikiikaribisha Galatasaray leo Jumanne katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA).

Nyota mpya wa Klabu ya Galatasaray na mchezaji wa zamani wa Man United Wilfred Zaha amechimba mkwara kwa wapinzani wao kuelekea mchezo huo.

Akizungumza Zaha amesema;

“Tuna timu yenye uzoefu mkubwa. Tuko tayari kwa mechi ya leo. Tuna wachezaji wanaoweza kuidhuru Manchester United.” Amesema Wilfried Zaha

Je, unahisi ni kweli Galatasaray watafanikiwa kuichapa Man U?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live