Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

ZENGWE: Kuna vigogo hawamtaki Benchikha pale Simba

Benchikha Mapinduzi.jpeg ZENGWE: Kuna vigogo hawamtaki Benchikha pale Simba

Tue, 23 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtangazaji Paul Mkai ameibua zengwe kuwa, kuna baadhi ya vigogo ambao wanaanzisha vuguvugu la kutaka kumtimua kocha wa Simba SC, Abdelhak Benchikha.

Amesema watu hao ni miongoni mwa wale washauri 21 walioteuliwa na Rais wa Heshima wa klabu hiyo, Mohamed Dewji.

“Kuna baadhi ya Wajumbe wa bodi ya Simba na lile kundi la Washauri 21 baadhi yao wamemuundia zengwe Benchikha afukuzwe ndani ya Simba Sc” @paulmkaitz

Chanzo: www.tanzaniaweb.live