Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yusuph Kagoma ajiunga na Simba SC Mkataba wa miaka 3

Yusuph Kagoma Ajiunga Na Simba SC Mkataba Wa Miaka 3 Yusuph Kagoma ajiunga na Simba SC Mkataba wa miaka 3

Mon, 8 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo Mkabaji Yusuph Kagoma amejiunga na Simba SC kwa Mkataba wa miaka mitatu akitokea Singida Fountain Gate.

Kiungo Mkabaji Yusuph Kagoma amejiunga na Simba SC kwa Mkataba wa miaka mitatu akitokea Singida Fountain Gate. Taarifa ya Simba SC inaeleza kuwa “Kagoma ni moja ya vijana wazawa wenye uwezo mkubwa wa kuzuia timu ikishambuliwa na kupandisha mashambulizi”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live