Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Youssef En-Nesyri awindwa Saudi Arabia

International Media Hails Youssef En Nesyris Impressive Form 800x533.jpeg Youssef En-Nesyri

Sat, 29 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Al Hilal ya Saudi Arabia inajipanga kuwasilisha ofa ya euro milioni 45 kwa ajili ya kuinasa saini ya mshambuliaji wa Sevilla na Morocco, Youssef En-Nesyri.

Klabu ya Al Hilal ya Saudi Arabia inajipanga kuwasilisha ofa ya euro milioni 45 kwa ajili ya kuinasa saini ya mshambuliaji wa Sevilla na Morocco, Youssef En-Nesyri. En-Nesyri (26) anatarajiwa kutia kibindoni mshahara wa euro milioni 15 (zaidi ya Tsh bilioni 40) na huenda akaungana na Mreno Rubén Neves, Mserbia Milinković-Savić na Msenegal Kalidou Koulibaly.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live