Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Youri Tielemans aigomea Leicester City, United watajwa

FLTlprTXoAEBuky Kiungo wa Leicester City, Youri Tielemans

Fri, 11 Feb 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa Timu ya Taifa ya Ubelgiji na Leicester City, Youri Tielemans hajaonesha nia ya kusaini mkataba mpya na Leicester na anataka kuondoka katika klabu hiyo msimu huu wa joto.

Kiungo wa Timu ya Taifa ya Ubelgiji na Leicester City, Youri Tielemans hajaonesha nia ya kusaini mkataba mpya na Leicester na anataka kuondoka katika klabu hiyo msimu huu wa joto. Manchester United ni moja ya chaguo kwake na wamekuwa wakimfuata kwa muda mrefu. Leicester wana matumaini ya kupata Euro milioni 50, iwapo wataamua kumuuza.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live