Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yondani Amfuata Nyoso Geita Gold

Yondani Geita Yondani Amfuata Nyoso Geita Gold

Fri, 24 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

GUMZO kubwa mjini Geita kwa sasa ni juu ya usajili wa nyota wa zamani wa Yanga na Polisi Tanzania, Kelvin Yondani, ambaye amesaini dili la mwaka mmoja Geita Gold, mkataba utakaomfanya kuziba safu ya ulinzi sambamba na Juma Nyosso ambaye tayari ameingia kwenye klabu hiyo.

GUMZO kubwa mjini Geita kwa sasa ni juu ya usajili wa nyota wa zamani wa Yanga na Polisi Tanzania, Kelvin Yondani, ambaye amesaini dili la mwaka mmoja Geita Gold, mkataba utakaomfanya kuziba safu ya ulinzi sambamba na Juma Nyosso ambaye tayari ameingia kwenye klabu hiyo. Akizungumza na Championi Ijumaa, Ofisa Habari wa Geita Gold, Hemed Kivuyo, amesema, ni kweliYondani ataungana na Juma Nyosso msimu huu baada ya kusaini mkataba wa mwaka mmoja, kwani wao wameamua kutengeneza ukuta wa kudumu ili waweze kufikia malengo yao.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live