Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yassine Bounou Golikipa Bora Saudi Arabia

Yassine Bonouuuu Yassine Bounou

Thu, 30 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Yassine Bounou golikipa wa Al Hilal ya Saudia ameibuka kuwa Golikipa bora msimu wa 2023/24.

Yassine Bounou golikipa wa Al Hilal ya Saudia ameibuka kuwa Golikipa bora msimu wa 2023/24. Bounou ameisaidia klabu yake kutwaa taji la Ligi hiyo huku yeye akicheza michezo 31 sawa na dakika 2782, huku akipata clean sheets 15!

Chanzo: www.tanzaniaweb.live