Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yao ashindwa kufanya mazoezi ya mwisho Sauzi

Yaooo WA0001 Yao ashindwa kufanya mazoezi ya mwisho Sauzi

Fri, 5 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Beki wa kulia wa Yanga SC, Yao Kouassi raia wa Ivory Coast jana ameyatazama mazoezi ya mwisho ya timu hiyo akiwa jukwaani, huku yeye akishindwa kufanya mazoezi hayo.

Yanga SC leo itashuka dimbani kucheza dhidi ya Mamelodi Sundowns majira ya saa 2:00 usiku kwa saa za Afrika Kusini sawa na saa 3:00 kwa Tanzania.

Mambo machache aliyogusia Yao ni kuwa bado ana imani na wachezaji wenzake na leo watapata ushindi, lakini pia hajaridhishwa na nyasi za uwanja huo akidai sio salama kwa wachezaji.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live