Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yao, Pacome, Aucho waandaliwa kuwavaa Simba April 20

Pacomeeee Auchooo Yao, Pacome, Aucho waandaliwa kuwavaa Simba April 20

Mon, 8 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota watatu wa klabu ya Yanga Khalid Aucho, Attohoula Yao na Pacome Zouzoua wanatarajiwa kurejea uwanjani kabla ya mchezo dhidi ya watani zao klabu ya Simba unaotarajiwa kupigwa , April 20 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa.

Wachezaji hao wote wameshindwa kucheza michezo miwili ya ligi ya Mabingwa Barani Afrika dhidi ya Mamelodi kutokana na majeruhi yanayowakabili.

Kama watakuwa na utimamu asilimia mia basi wanaweza kutengeneza mazingira hatarishi zaidi kwa klabu ya Simba kutokana na aina yao ya uchezaji uwanjani.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: