Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yao Kouassi, Jeshi la Wananchi wa Jangwani

Yao Yao Jeshi.jpeg Mlinzi wa Kulia wa Yanga, Yao Kouassi Attohoula

Thu, 2 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Jeshi la Wananchi wa Jangwani Yao kouassi Attohoula, Mlinzi wa kulia wa Klabu ya Yanga.

Yao anaweza kulinda upande mmoja wa jangwa peke yake. Atakufanya ushike kichwa kwa masikitiko au kwa mshangao.

Amejaa tele kule pembeni...!Pumzi, kasi, maarifa, maji...Top assist provider kwenye NBC mpaka sasa.

Yao ni miongoni mwa sajili za Yanga zilizoanza na moto wa hali ya juu ndani ya kikosi hicho.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: