Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga yazindua jezi nyingine tena

Screenshot 20221011 180353 Instagram Yanga yazindua jezi nyingine tena

Tue, 11 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kuelekea kumbukumbu ya miaka 23 ya kifo cha Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, klabu ya Yanga imezindua jezi maalum kumuenzi Rais huyo wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kuelekea kumbukumbu ya miaka 23 ya kifo cha Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, klabu ya Yanga imezindua jezi maalum kumuenzi Rais huyo wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Jezi hizo ambazo ni toleo maalum (Special Edition, zinapatikana makao makuu ya klabu hiyo Jangwani jijini Dar es Salaam, GSM Sports Salamander Tower – Samora, Msasani na Mlimani City.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live