Baada ya mashabiki wa Yanga SC kujitokeza kwa wingi jana katika pambano la kimataifa dhidi ya ASAS FC kutoka Djibouti katika Uwanja wa Azam Complex uongozi wa Yanga SC umeibuka na kutoa shukrani kwa mashabiki hao.
Baada ya mashabiki wa Yanga SC kujitokeza kwa wingi jana katika pambano la kimataifa dhidi ya ASAS FC kutoka Djibouti katika Uwanja wa Azam Complex uongozi wa Yanga SC umeibuka na kutoa shukrani kwa mashabiki hao. Yanga SC imewashukuru mashabiki wake na kuandika kuwa; “Shukrani kwa Wanachama, Mashabiki na Wapenzi wa Yanga SC kwa kujitokeza kwa wingi Azam Complex, Chamazi jana kwenye mchezo wetu wa kwanza," ilimaliza taarifa ya Yanga SC.