Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga yawapa pole Simba kuondolewa na Al Ahly

Simba, YANGA Yanga yawapa pole Simba kuondolewa na Al Ahly

Wed, 25 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Yanga SC imempa pole mtani wake wake wa jadi Simba SC baada ya kutolewa na Al Ahly ya nchini #Misri kwenye mashindano ya AFL.

Yanga imetoa pole hizo kupitia #comments katika chapisho la timu Simba SC, ikiandika kuwa "Pole sana mtani, hata sisi tulikosa Ubingwa wa Afrika kwa kanuni hiyohiyo".

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: