Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga yawachapa Tanzania Prisons 2-1

Yanga Vs Prisons Yanga yawachapa Tanzania Prisons 2-1

Sun, 11 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Yanga yawachapa Tanzania Prisons 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu uliofanyika katika uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.

Magoli ya Yanga yamewekwa kimiani na Cremecy Mzize na Pacome ZouZoua huku lile la Prisons likifungwa na Juma kwa mkwaju wa faulu.

Yanga sasa imefikisha alama 40 ikiongoza kundi baada ya kucheza michezo 15 huku Prisons ikisalia na alama 17 na kubaki nafasi ya 9.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live