Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga yawaasa Mashabiki wake kulinda amani

YANGA KIKOSI Kikosi cha Yanga

Sat, 19 Feb 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Vinara wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2021/2022, Timu ya Yanga imeendelea kuwaasa Mashabiki wake kuwa watulivu viwanjani dhidi ya Mashabiki wa Timu Pinzani.

Hatua hiyo inakuja wiki moja tu baada ya Mashabiki wake kushambuliwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa wakati wa Mechi ya Simba dhidi ya ASEC Mimosas.

Tazama hapa chini Taarifa ya Yanga;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live