Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga yatuma ofa ya Mil. 512 kumtaka Dube Azam

Prince Dube At Azam FC 2 Yanga yatuma ofa ya Mil. 512 kumtaka Dube Azam

Mon, 25 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Yanga leo imetuma ofa yao kwenda klabu ya Azam kwa ajili ya kumhitaji mshambuliaji wao Prince Dube.

Klabu ya Yanga leo imetuma ofa yao kwenda klabu ya Azam kwa ajili ya kumhitaji mshambuliaji wao Prince Dube. Yanga wapo tayari kuvunja mkataba wa Prince Dube kwa dau la Tsh Million 512 huku wakitaka kulipa ada hii ya usajili kwa awamu mbili.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live