Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga yatua rasmi kwa Baleke

Balekeee Simbas.jpeg Jean Othos Baleke.

Fri, 21 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Yanga imeulizia huduma ya mshambuliaji wa klabu ya TP Mazembe ambaye yupo kwa mkopo katika klabu ya Al-Itihad, Jean Othos Baleke.

Wakala wake, Augustino Ikandilo amethibitisha kuwa klabu ya Yanga wameulizia huduma ya mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka (23).

Baleke ligi kuu msimu huu 23|24:

Mechi 10 ⚽ 8 - Simba SC

Mechi 10 ⚽ 7 - Al-Itihad.

Yanga SC wanampango wa kuachana na washambuliaji wake, Joseph Guede ambaye anamaliza mkataba mwezi huu na Kennedy Musonda ambaye anatakiwa na klabu ya Tout Puissant Mazembe.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live