Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga yatua Mbeya kuwakabili Ihefu

Yanga Mbeya Ihefuu Yanga yatua Mbeya kuwakabili Ihefu

Tue, 3 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Jana usiku Klabu ya Yanga sc 'Wananchi' walifika salama jijini Mbeya tayari kwa mchezo wa ligi kuu ya NBC ambao unatarajiwa kupigwa Oktoba 04, 2023 dhidi ya Ihefu Fc.

Yanga wanaenda kwenye mchezo huu wakiwa na kumbukumbu ya kupoteza dhidi ya Ihefu kwenye mchezo wa msimu uliopita ambapo Unbeaten za wananchi ziliishia pale Highland Estate Mbarali.

Vipi msimu huu mambo yatakwendaje kwa Yanga hii ya Gamondi?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: