Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga yatua Bukoba kuanza msimu na Kagera Sugar

Yanga Pacome Diarra Aziz Ki Wananchi watua Bukoba kuanza msimu na Kagera Sugar

Wed, 28 Aug 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kikosi cha Klabu ya Yanga kimeshatua katika ardhi ya mkoa wa Kagera tayari kwa mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya dhidi ya wenyeji wao Kagera Sugar. Mchezo huo utapigwa majira ya Saa 1:00 Usiku katika uwanja wa Kaitaba.

Kikosi cha Klabu ya Yanga kimeshatua katika ardhi ya mkoa wa Kagera tayari kwa mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya dhidi ya wenyeji wao Kagera Sugar. Mchezo huo utapigwa majira ya Saa 1:00 Usiku katika uwanja wa Kaitaba. Mashabiki wa Yanga mkoa wa Kagera wameipokea timu yao kutoka uwanja wa ndege uliopo Manispaa ya Bukoba baada ya kikosi kuwasili leo mchana kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2024-25 dhidi ya Kagera Sugar utakaochezwa kesho Agosti 29-2024 kwenye dimba la Kaitaba mkoani Kagera.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live