Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga yatoa tamko sakata la Manara kufungiwa na TFF

Manaraa Pic Data Haji Manara

Thu, 21 Jul 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Yanga imetoa tamko kuhusu adhabu aliyopewa Manara na kusema hajatendewa haki hivyo inamuunga mkono kudai haki yake kwenye vyombo vya juu zaidi kimamlaka.

“Hii inakwenda kuathiri moja kwa moja mchango wake katika maendeleo ya soka katika klabu yake, Ligi ya Zsnzibar, Ligi Kuu Tanzania Bara hadi nchi za jirani (Burundi) ambazo amezihudumu katika nyadhifa mbalimbali....”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live