Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga yatangaza Siku ya Mwananchi ni Agosti 4

YANGAAAA MH Mwananchi Day ni Agosti 4

Mon, 1 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Yanga imetangaza kuwa kilele cha tamasha lao la Siku ya Mwananchi (Yanga Day) kwa msimu huu itakuwa tarehe 04/08/2024 katika Dimba la Mkapa.

Tamasha hilo ni maalum kwa ajili ya kutambulisha wachezaji na benchi la ufundi ambao wataunda kikosi cha timu hiyo kuelekea msimu ujao.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live