Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga yashusha viingilio Mechi yao kwa Mkapa

Yanga Warm Up Mbarali.jpeg Yanga yashusha viingilio Mechi yao kwa Mkapa

Fri, 20 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Uongozi wa Yanga umeshusha bei za viingilio katika mechi yao dhidi ya Azam FC ambayo imehamishiwa Uwanja wa Mkapa kutoka Azam Complex ambapo viingilio vya awali vilikuwa mzunguko Sh10,000 , VIP B Sh20,000 na VIP A Sh30,000 na sasa mzunguko ni Sh5,000 , VIP B 10,000 na VIP A ni Sh20,000.

Uongozi wa Yanga umeshusha bei za viingilio katika mechi yao dhidi ya Azam FC ambayo imehamishiwa Uwanja wa Mkapa kutoka Azam Complex ambapo viingilio vya awali vilikuwa mzunguko Sh10,000 , VIP B Sh20,000 na VIP A Sh30,000 na sasa mzunguko ni Sh5,000 , VIP B 10,000 na VIP A ni Sh20,000. Mechi hiyo itapigwa saa 12:30 jioni.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live