Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga yashusha Kocha mpya wa Viungo

Yanga Kocha Wa Viungo Yanga yashusha Kocha mpya wa Viungo

Wed, 29 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Yanga imemuajiri aliyekuwa mchezaji wa zamani wa Vilabu vya Mwadui na Lipuli ya Iringa Mussa Namkoveka kuwa kocha Mpya wa viungo kwa timu ya Vijana,

Mussa Namkoveka (Mtanzania) inasadikika kuwa kwasasa ndio kocha Mwenye Umri Mdogo zaidi kuhudumu kwenye Vilabu vya ligi kuu kwa Ujumla (Ligi kuu ya Vijana na Wakubwa),

Mussa pia amewahi kuhudumu ndani ya vilabu vya Mbeya kwanza na kagera sugar pia zote za vijana.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: