Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga yapangwa na Waarabu Kombe la Shirikisho

Yanga Mguu Sawa Kikosi cha Yanga

Tue, 18 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wawakilishi wa Tanzania kunako michuano ya Kombe la Shirikisho, timu ya Yanga hatimaye wameshusha pumzi baada ya kujua wanacheza na nani hatua ya mtoano kufuzu kwa makundi Kombe la Shirikisho Afrika.

Yanga inakutana na Club Africain kutoka Tunisia ambao wametinga hatua hiyo baada ya kuvurumisha timu ya Kipanga FC ya Zanzibar mabao 7-0.

Yanga inaanzia nyumbani mchezo ambao utapigwa Novemba 2 huku ule wa marudiano utapigwa Novemba 9 nchini Tunisia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live