Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga yamuenzi Sonso kwa Mkapa

Yanga Sonsoo Wachezaji wa Yanga katika dimba la Mkapa

Wed, 16 Feb 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Yanga Usiku wa Jana walishuka uwanjani kuwavaa Biashara United katika mchezo wa hatua ya 16 Bora Kombe la Azam Sports Federation.

Kabla ya Mchezo huo, wachezaji wote wa Yanga walivaa jezi zenye Jina la nyota wao wa zamani Ally Mtoni "Sonso" aliefariki Dunia Februari 11 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.

Baada ya tukio hilo wachezaji waligawa jezi hizo kwa Mashabiki, kama ilivyo kawaida ya klabu hiyo.

Tazama hapa chini kuona namna Yanga walivyoomboleza tukio hilo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live