Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga yamtaka fundi huyu mrithi wa Gift Fred

Lauren Makame D Aziz Ki Lauren Makame na Aziz KI.

Thu, 18 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Yanga inachakata majina mawili ya beki wa kati ambayo watachukua nafasi ya Gift Fred.

Lauren Makame Maarufu kama Canavaro mwenye aina ya uchezaji kama Ibrahim Bacca, anaongoza katika mbio hizo.

◉ Lauren Makame - 60%

◉ Abdulmajid Mangalo - 40%.

Gamondi amevutiwa zaidi na uchezaji wa bwana mdogo huyu kutoka klabu ya Singida Fountain Gate kutokana na umahiri wake kucheza mipira ya juu, chini, Tackles na accuracy nzuri ya kupiga pasi na umri wake mdogo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live