Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga yamshushia Nabi mvua ya magoli 4-0

Yanga Yamshushia Nabi Mvua Ya Magoli 4 0.png Yanga yamshushia Nabi mvua ya magoli 4-0

Mon, 29 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mabao ya Prince Dube, Stephane Aziz Ki na Clement Mzize yametosha kuipa Yanga ushindi wa 0-4 katika mchezo wa Kimataifa wa Kirafiki (Toyota Cup) dhidi ya Kaizer Chiefs inayonolewa na Kocha Nassredine Nabi.

Ushindi huo kwa Yanga, unamkaribisha Kocha wake wa zamani, Nabi katika Klabu ya Kaizer Chiefs.

FT: Kaizer Chiefs 0-4 Yanga

⚽ Prince Dube ⚽Aziz KI ⚽Mzize ⚽Aziz KI

Chanzo: www.tanzaniaweb.live