Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga yamchangia Prof Jay Mil. 5

Yanga Yamchangia Prof Jay Mil. 5 Yanga yamchangia Prof Jay Mil. 5

Mon, 11 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya wananchi Yanga SC kupitia kwa rais wao Injia Hers Said wamechangia Tsh Milioni tano kwa Professorjayfoundation ili kupeleka tabasamu na kusaidia wagonjwa wa figo nchini.

Timu ya wananchi Yanga SC kupitia kwa rais wao Injia Hers Said wamechangia Tsh Milioni tano kwa Professorjayfoundation ili kupeleka tabasamu na kusaidia wagonjwa wa figo nchini. Hafla ya uzinduzi wa taasisi hiyo ilifanyika jana Desemba 10, 2023 katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live