Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga yakwea pipa kuwafuata Medeama

Yanga F8aa0e Yanga yakwea pipa kuwafuata Medeama

Tue, 5 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kikosi cha timu ya Yanga kimmeondoka asubuhi ya leo kuelekea nchini Ghana kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika hatua ya makundi dhidi ya Medeama.

Yanga watatupa karata yao ya tatu dhidi Medeama siku ya Ijumaa saa 4:00 usiku katika kampeni ya kusaka kwenda robo fainali.

Kundi hilo linaongozwa na Al Ahly wenye alama 4, CR Belouizdad alama 3, Medeama alama 3 huku Yanga ikishika mkia kwa alama moja pekee

Chanzo: www.tanzaniaweb.live