Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga yakataa sh bilioni 5 za Wydad

Aziz Mzize Zxv Yanga yakataa sh bilioni 5 za Wydad

Mon, 2 Sep 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Wydad Casablanca walitenga zaidi ya Shilingi Billion 5 za kitanzania kwaajili ya Kunasa saini za wachezaji wawili wa Yanga SC lakini Yanga wamekataa Ofa hiho kwa kusema ni ndogo haitoshi.

Wydad waliandaa Dollar Million 2 (500,000) kwa mzize na (1,500,000) kwa Aziz Ki ofa ambayo Yanga wameikataa.

Klabu ya Yanga inataka Dollar million 4 (Billion 11) ili iweze kuwaachia Mastaa hao wawili kwa Wydad.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live