Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga yairudisha Azam kwa Mkapa

Yanga Afrika Sehemu ya Kikosi cha Wachezaji wa Yanga

Sat, 16 Oct 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Yanga imewajulisha mashabiki, wapenzi na wapenda mpira kuwa mechi yao dhidi ya Azam FC, ambayo ilikuwa ichezwe Jijini Arusha Oktoba 30, katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid.

Yanga katika taarifa yake iliyotoka Oktoba 15 imesema mchezo huo utachezwa kwa Mkapa Dar es Salaam, huku ikiwa haijaweka wazi sababu zilizopelekea kubadilishwa kwa ratiba iliyokuwepo awali.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live