Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga yaingia makubaliano na CSKA Moscow

Yanga 05635 Yanga yaingia makubaliano na CSKA Moscow

Sat, 20 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Uongozi wa Young Africans SC umekutana na Uongozi wa Klabu ya CSKA Moscow kutoka Urusi kwa lengo la kutengeneza mahusiano ya kukuza vipaji kwa soka la vijana na kubadilishana taaluma mbalimbali za kimichezo na utawala.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live