Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga yaingia Mkataba huu... na Air Tanzania

Caamil X Matindi Yanga yaingia Mkataba huu... na Air Tanzania

Wed, 24 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Yanga imengia Mkataba wa miaka miwili na Shirika la Ndege la ATCL, wenye makubaliano ya kubadilishana huduma ambapo Yanga itapata punguzo la gharama za Usafiri na kuitangaza ATCL kwenye Safari zao.

Klabu ya Yanga imengia Mkataba wa miaka miwili na Shirika la Ndege la ATCL, wenye makubaliano ya kubadilishana huduma ambapo Yanga itapata punguzo la gharama za Usafiri na kuitangaza ATCL kwenye Safari zao. Mbali na kuitangaza ATCL, pia Yanga wataitangaza Tanzania ikiwa ndio lengo Mama la Mkataba huo, amezungumza Mtendaji Mkuu wa ATCL Ladislaus Matindi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: