Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga yaifuata Azam kibabe, moto utawaka Zanzibar

Yanga Azam Dz Yanga yaifuata Azam kibabe, moto utawaka Zanzibar

Thu, 30 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kikosi cha mabingwa wa Ligi Kuu ya NBC, Yanga SC kimeondoka leo kuelekea Visiwani Zanzibar na ajili ya fainali ya Kombe la Shirikisho la NBC.

Kikosi cha mabingwa wa Ligi Kuu ya NBC, Yanga SC kimeondoka leo kuelekea Visiwani Zanzibar na ajili ya fainali ya Kombe la Shirikisho la NBC. Yanga ambao pia ni mabingwa watetezi wa kombe la Shirikisho watakipiga na Azam kwenye fainali hiyo itakayopigwa Jumapili, Juni 2, mwaka huu katika Uwanja wa New Amaan Complex, Visiwani Zanzibar, saa 2:15, usiku.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live