Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga yaichapa Tabora Utd, yatinga nusu fainali Kombe la Shirikisho

Guedez Yanga yaichapa Tabora United na kutinga nusu fainali Kombe la Shirikisho

Wed, 1 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wananchi wametinga hatua ya nusu fainali ya kombe la Shirikisho la CRDB (CRDB Federation Cup) kufuatia ushindi mnono wa 3-0 dhidi ya Tabora United katika dimba la Azam Complex, Chamazi.

Pacome Zouzoua aliyekuwa nje kwa takribani mwezi na nusu, amejerea na kuweka pasi moja ya goli, ubora ni ule ule amerejea na makali yake.

FT: Yanga SC 3-0 Tabora United

⚽ Stephanie Azizi Ki 35'

⚽ Kennedy Musonda 66'

⚽ Joseph Guede 83'.

Yanga sasa itakutana na Ihefu kwenye hatua ya nusu fainali. Ihefu imefuzu kwa changamoto ya mikwaju ya penati baada ya kuwaondoa Mashujaa FC.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live