Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga yagoma kuingia vyumbani

Yanga 7383538 Yanga yagoma kuingia vyumbani

Sat, 20 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wenyeji wa mchezo wa leo wa Derby ya Kariakoo, Yanga Sc wamesusia vyumba vya kubadilishia nguo kutokana na hali ya vyumba hivyo.

Wananchi wameripotiwa kuweka wazi kuwa huenda isiingizie timu kwenye vyumba vya kubadilishia Nguo kwa madai vyumba hivyo vimepigwa dawa.

Pichani ndio sehemu yao ya vyumba vya kubadilishia nguo inavyo onekana.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live