Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga yaendeleza ubabe kwa Dodoma Jiji, Aziz Ki ampindua Fei Toto

Aziz Mzize Zxv Yanga yaiadhibu Dodoma Jiji, Aziz Ki arejea kileleni

Wed, 22 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mabingwa wa ligi kuu soka Tanzania Bara Yanga SC wameendeleza umwamba kwenye ligi hiyo baada ya kuisasambua Dodoma Jiji FC 4-0 kwenye mchezo wa muendelezo wa ligi hiyo

Kiungo nyota Aziz Ki alipachika mabao mawili kwenye ushindi huo na kufikisha mabao 17 kwenye vita vya kusaka.

Dodoma Jiji 0️⃣-4️⃣ Yanga SC

Clement Mzize ⚽️

Stephanie Ki Aziz ⚽️⚽️

Maxi Nzengeli ⚽️

Ki Aziz sasa (Magoli 17) ampita Feisal Salum wa Azam FC (Magoli 16) kwenye mbio za kuwania kiatu cha ufungaji bora wa Ligi Kuu Bara zikiwa zimesalia mechi mbili kukamilika kwa msimu huu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live