Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga yaelezwa kumalizana na Kambole wa Kaizer Chiefs

Lazarous Kambole 2?fit=620%2C420&ssl=1 Kambole

Mon, 13 Jun 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu Yanga imeripotiwa kushinda mbio za kuinasa saini ya mshambuliaji wa Keizer Chiefs Lazarous Kambole (28) kwa mkataba wa miezi 6 wenye chaguo la nyongeza ya miaka miwili.

Klabu Yanga imeripotiwa kushinda mbio za kuinasa saini ya mshambuliaji wa Keizer Chiefs Lazarous Kambole (28) kwa mkataba wa miezi 6 wenye chaguo la nyongeza ya miaka miwili. Yanga SC imeipiku klabu ya Zesco United katika mbio za mshambuliaji huyo raia wa Zambia ambaye amefunga magoli mawili tu katika mechi 46 kwa kipindi cha miaka miwili alichokuwa klabuni hapo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live