Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga yabadilishiwa dimba Sudan

Yanga Warm Up Yanga wakipasha misuli

Tue, 7 Feb 2023 Chanzo: Mwanaspoti

Afisa Habari wa Klabu ya Yanga, Ali Kamwe amefunguka kuhusu mchezo wao dhidi ya Monastir kuhamishiwa kwenye Uwanja wa Stade Olympique de Radès.

Afisa Habari wa Klabu ya Yanga, Ali Kamwe amefunguka kuhusu mchezo wao dhidi ya Monastir kuhamishiwa kwenye Uwanja wa Stade Olympique de Radès. Yanga inaukumbuka uwanja huo kwani ndiyo uliyowapa nafasi ya kushiriki hatua ya Makundi ya Michuano ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika CAF baada ya kuifunga Club Africain goli pekee la Aziz Ki.

Chanzo: Mwanaspoti