Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga yaanza kwa kishindo Mapinduzi, yamchampa mtu 5-0

Yanga Yamchapa Mtu 5 0 Yanga yaanza kwa kishindo Mapinduzi, yamchampa mtu 5-0

Sun, 31 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Yanga SC wameanza mbio za Kombe la Mapinduzi kwa kumtandika Jamhuri 5-0 katima mechi yao ya kwanza ya ufunguzi wa mashindano hayo.

Mechi hiyo ambayo Yanga aliuwasha zaidi na kuonesha ana wachezaji bora imepigwa kwenye Uwanja wa Amaani Visiwani Zanzibar.

Magoli ya Yanga yalifungwa na Crispine Ngushi (2), Skudu Makudubela, Kibwana Shomari na Crement Mzize.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live