Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga yaambulia sare mbele ya KVZ

Yanga Yaambulia Sare Yanga yaambulia sare mbele ya KVZ

Thu, 4 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Yanga SC imeambulia sure mbele ya KVZ katika mashindano ya Mapinduzi yanayoendelea visiwani Zanzibar.

Mechi hiyo ambayo ilikuwa na mabadiliko makubwa katika kikosi cha Yanga ilipigwa kwenye uwanja wa Amaani visiwani humo.

Kwa sure hiyo ya bila kufungana, Yanga amezidi kubaki kileleni katima kundi C akiwa nafasi ya kwanza na alama zake 7 huku KVZ akishika nafasi ya pili na alama zake 5.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live