Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga yaalikwa Bungeni

Yanga Kikosii Yanga yaalikwa Bungeni

Mon, 20 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Yanga SC imealikwa Bungeni Jijini Dodoma na mwenyeji wao Waziri wa Sanaa, Utamaduni na Michezo Dk. Damas Ndumbaro, Mei 23.

Klabu ya Yanga SC imealikwa Bungeni Jijini Dodoma na mwenyeji wao Waziri wa Sanaa, Utamaduni na Michezo Dk. Damas Ndumbaro, Mei 23. Waziri Ndumbaro amewaita Yanga SC siku hiyo ambayo ndiyo atakuwa akiiwasilisha Bajeti ya Wizara yake katika Bunge hilo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live