Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga ya tatu Afrika, yazifuynika Simba na Mamelodi

Yanga Paradesz Yanga ya tatu Afrika, yazifuynika Simba na Mamelodi

Tue, 4 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Chanzo cha Africa Soccer Zone kimetaja orodha ya timu zilizoonesha uwezo mzuri wa kucheza kwa msimu huu wa 2023/2024.

Katika orodha hiyo hakuna timu ya Simba SC inayojitafuta upya hivi sasa, huku Yanga SC wakishika nafasi ya tatu katika orodha ya timu 10 bora.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live