Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga ya gamondi imekuwa tishio kila idara

Hersi Yanga Gamondiz Yanga ya gamondi imekuwa tishio kila idara

Wed, 5 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Yanga ya Gamondi imetawala kwa asilimia 98 kwenye kila takwimu nzuri msimu wa 2023|24.

Ligi Kuu Bara

◉ Champions - Yanga SC

◉ Timu yenye kadi chache - Yanga SC

◉ Timu yenye on target nyingi - Yanga

◉ Timu yenye mchezaji bora wa mwezi mara nyingi - Yanga (Stephane Aziz Ki ×4)

◉ Hat-trick nyingi - Aziz Ki (×2)

◉ Timu iliyoshinda mechi zote za nyumbani bila sare wala kupoteza - Yanga.

2023|24 Gamondi -------- Nabi 2022|23

80 ....... Points Ligi Kuu ......... 78

71 ....... Magoli ya kufunga ....... 61

14 ...... Magoli ya kufungwa ....... 18

26 ........... Kushinda ............ 25

2 .......... Sare | Suluhu .......... 3

2 ......... Kupoteza ................ 2

3 ........ Kocha bora wa mwezi ...... 2

Timu iliyoshinda kwa magoli mengi katika mechi nyingi tofauti - Yanga.

◉ Yanga 5 - 0 KMC

◉ Yanga 5 - 0 JKT Tanzania

◉ Yanga 5 - 1 Simba - (A)

◉ Yanga 5 - 0 Ihefu

◉ Yanga 4 - 1 Mtibwa Sugar

◉ Yanga 4 - 0 Dodoma Jiji.

Timu zilizopiga pasi nyingi:

◉ 10,830 - Young Africans.

◎ 10,084 - Azam FC

◎ 9,897 - Simba SC

◎ 91,24 - KMC.

Magoli mengi ya free kick:

◉ 4 - Stephane Aziz Ki

◎ 2 - Saido Ntibazonkiza

◎ 2 - Marouf Tchakei

◎ 2 - Edwin Balua.

Magoli mengi nje ya box:

◉ 6 - Stephane Aziz Ki

◉ 3 - Marouf Tchakei

◎ 3 - Nicolas Gyan.

Vinara wa magoli:

◉ 21 - Stephane Aziz Ki - (27)

◎ 19 - Feisal Salum - (30)

◎ 12 - Waziri Junior - (29)

◎ 11 - Saido Ntibazonkiza - (26)

◎ 11 - Maxi Nzengeli - (29)

Vinara wa Assists:

◉ 9 - Kipre Junior

◎ 8 - Stephane Aziz ki

◎ 7 - Clement Mzize

◎ 7 - Feisal Salum

◎ 7 - Yao Kouassi

◎ 7 - Pascal Msindo.

Vinara wa cleansheets :

◉ 15 - Ley Matampi

◎ 14 - Djigui Diarra

◎ 10 - Deusdedith

◎ 10 - Jonathan Nahimana

◎ 10 - Ayoub Lakred.

Timu zenye points nyingi :

◉ 80 - Young Africans SC

◎ 69 - Azam FC

◎ 69 - Simba SC.

Timu zenye magoli mengi :

◉ 71 - Young Africans SC

◎ 63 - Azam FC

◎ 59 - Simba SC.

Timu zilizoruhusu magoli machache:

◉ 14 - Young Africans SC.

◎ 19 - Coastal Union..

◎ 21 - Azam FC

◎ 25 - Simba SC.

Goals deference nzuri :

◉ 57 - Young Africans SC.

◎ 42 - Azam FC

◎ 34 - Simba SC.

Timu zilizopoteza mechi chache :

◉ 2 - Young Africans SC.

◎ 3 - Azam FC

◎ 3 - Somba SC.

Timu zenye sare | suluhu chache :

◉ 2 - Young Africans SC.

◎ 6 - Azam FC

◎ 6 - Simba SC.

Timu zilizoshinda mechi nyingi:

◉ 26 - Young Africans SC

◎ 21 - Azam FC

◎ 21 - Simba SC.

KOmbe la Shirikisho la CRDB

◉ Champions - Yanga SC

◉ Top scorer - Clement Mzize

◉ Mchezaji bora wa fainali - Bacca

◉ 5 - Cleansheets nyingi - Yanga SC.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live