Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga ya Gamondi, tishio dakika hizi..!

Gamondi X Yanga Somo Yanga chini ya Miguel Gamondi inatisha zaidi dakika 45 za kipindi cha pili

Sat, 2 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ni rahisi sana kwa Yanga ya Gamond kuhisi umeiweza katika dakika 45 za kwanza za mchezo na ni ngumu sana kuizuia Yanga ya Gamond kwenye dakika 45 za pili za mchezo.

Ni rahisi sana kwa Yanga ya Gamond kuhisi umeiweza katika dakika 45 za kwanza za mchezo na ni ngumu sana kuizuia Yanga ya Gamond kwenye dakika 45 za pili za mchezo. Yanga imekuwa ikifunga magoli mengi zaidi katika kipindi cha pili cha mchezo, baada ya Gamond kuwasoma wapinzani wake aina ya mbinu wanazotumia, hadi hivi sasa katika michezo miwili ya Ligi wamefunga magoli nane (8) kipindi cha pili na mawili (2) kipindi cha kwanza.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: