Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga wazindua Jezi mpya za Kimataifa (+Video)

Yanga Full Kit Jezi mpya za Yanga katika Michuano ya Kimataifa

Wed, 22 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Yanga imezindua Jezi mpya zitakazotumika katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika kuanzia hatua ya Makundi.

Yanga ipo kundi D sambamba na timu za Al Ahly, CR Belouzdad na Medeama FC.

Yanga inatupa karata yake ya kwanza Ijumaa hii Novemba 24 dhidi ya CR Belouzdad nchini Algeria.

Tazama jezi hizo kwa ukaribu katika Video hapa chini kisha utupe maoni yako, Unaupa asilimia ngapi Uzi mpya wa Yanga?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: