Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga waweka kikao kizito kumjadili nyota huyu..!

Edwin Balua Edwin Balua

Wed, 29 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Yanga SC, pamoja na uwakilishi wa Edwin Balua bado wapo kwenye mazungumzo ya uwezekano wa kumsajili winga huyo ambae msimu wa pili sasa anaendelea kuwika na Tanzania Prison.

Nimeelezwa Uongozi wa Yanga na Balua unafanya Vikas vya mara kwa mara juu ya uwezekano wa kumsajili na kwa mujibu wa aliyenipa taarifa hadi Ijumaa ya wiki ijayo muafaka utakuwa umepatikana.

Kwa sasa Edwin Balua, Ladack Chasambi ni miongoni mwa wachezaji ambao wanatajwa sana sokoni huenda kila mmoja wapo akajiunga na mapacha wa Kariakoo Simba SC pamoja na Yanga SC.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: