Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga waukubali mziki wa Waarabu

Maxi CR Belouizdad Kamwe: Tumemiliki soka, Waarabu wakamiliki mabao

Sat, 25 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msemaji wa Klabu ya Yanga, Ally Kamwe amedai kuwa wao walimiliki zaidi mpira lakini wapinzani wao, kwenye mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi ya ligi ya Mabingwa Afrika, CR Belouzdad wakamiliki matokeo.

“Tumemiliki mchezo, wenzetu wakamiliki matokeo, It’s Football..Hongera kwao. Hii imekwisha Kituo kinachofuata ni Benjamin Mkapa Daima mbele Nyuma Mwiko,” amesema Ally Kamwe baada ya Yanga kupata kichapo cha goli 3-0.

Desemba 2, Yanga atakuwa na kibaura kingine dhidi ya Al Ahly ya Misri katika Dimba la Mkapa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live